LOVE BETWEEN US (Upendo kati yetu) Xxxxxx++++++xxxxxx++++++xxxxxx 1 - - - - - - - - 5 SEHEMU YA 1

LOVE BETWEEN US (Upendo kati yetu) Xxxxxx++++++xxxxxx++++++xxxxxx 1 - - - - - - - -  5 SEHEMU YA 1

Katika mtaa mmoja wa Uswahilini uliochangamka sana, kilionekana kikundi cha wanawake watano waliovalia vijora wakiwa wamemzunguka msichana mmoja. Ilikuwa wazi walitaka vita. “Nyooo, emu jiangalieni kwanza juu mpaka chini au angalianeni kwa zamu mjithaminisheni wenyewe msiseme nawasingizia bureee,” aliongea yule dada huku ameshika kiuno na kuwaangalia kwa dharau. “Hua mnajiangalii kwenye vioo kweli nyie mkiamka asubuhi au mkienda uko kwenye vigodoro vyenu? Maana kwa mabwana wa maana hamnao tuseme tu ule ukweli. Ningesema mnajiangalia kwenye vioo mkipaka wanja kwenda kwa hao mabwana zenu halafu niangalieni na mimi juu hadi chini tena msiniangalie kwa jicho la woga niangalieni vizuriii. Ngoja nigeuke

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments