LUVIE binti wa malaya

LUVIE binti wa malaya

"Hivi kweli mama yangu?!" **Luvie** alifoka, akitoka nje ya chumba huku amembeba mwanawe wa miezi minane. Mama yake, **Bi. Pendo**, alimkimbilia na kumshika mkono, akimgeuza amwangalie. "Unawezaje kunitoka hivyo, wewe!" Bi. Pendo alimkoromea binti yake. Macho ya Luvie yalijaa machozi akimtazama mwanamke aliyemwita mama yake. "Mama, unawezaje! Unawezaje kuniomba nijiunge na maisha yako ya ovyo ovyo?" "Angalia unachokisema, Luvieee!!" "Sijali! Sitawahi kurudi kwenye maisha yangu ya zamani nikiwa binti mdogo! Ulinifundisha tu jinsi ya kuwafuatilia wanaume na kuwapunja pesa! Wenzangu wote wako shule wakati mimi niko hapa na mtoto! Niliishia kulala na wavulana na wanaume waliooa, nikikusanya pesa zao! Hiki

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments