NILIZANI MWIZI KUMBE MMMH SEHEMU YA 40💘💘

NILIZANI MWIZI KUMBE MMMH  SEHEMU YA 40💘💘

"ushampaka huyo marayaa??" Moyo ukafanya paa nimepakwa nini tenaaa "Ah mh upo et wapi" Zakia aliuliza kwa kubabaika kama juddy alishtuka ile simu ilikatwa hapo hapo Ilivyopigwa tena haikuwa inapatikana , walipiga sana simu haipatikani Alex alikuwa natetemeka analia tu yaan mwanaume alikuwa mwekunduuu sio macho sio usoo "Kumpaka ninii??" Inno akamuuli, hapo kila mtu alikuwa ameshika shavu lake mama angu ndio amechoka hata kulia wala kuongea amebaki tu kusikiliza Zakia akatoa kichupa hivi ,vile vichupa huwa vya Jancho au wengi wanaita piko ile , na wengine wanawekea ugolo , akakitoa Akasema "Alinipa hii nije kumpaka kwenye unyayo wa mguuu'"

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments