MADAM JOY NA MIMBA YA CEO MWANAFUNZI* *1----2*

MADAM JOY NA MIMBA YA CEO MWANAFUNZI* *1----2*

*________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Nilikwambia jamani, hukutaka kunisikia, ogopa sana mwanaume aliyeokoka, wana roho ngumu sana,kama kaweza kuachana na dhambi, wewe ni nani asikuache!🤔... Madam Roz alikuwa akiniambia, mwenzenu,nimeachika kwa peter mlokole, kosa tu la kubandika kucha miguuni😃, mlokole wa watu akaona akaaaa hanitaki tena, naumia mwenzenu uyu ndo alikuwa mwanaume pekee aluekubali kuwa na mimi bila kumpa tamu, alikubali kusubili hadi ndoa, leo kaniacha nitapata wapi tena😭, na haka ka mwili kangu kakitoto kila mwanaume wamaana ananichukulia mtoto, vijana ambao hawajui ata kama watakuja kuoa ndo wananiona mimi saizi yao😭... Naitwa madam joyce, ni madam wa shule ya msingi,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments