PENZI LA MUBABA ❤️‍🔥1

PENZI LA MUBABA ❤️‍🔥1

Sikuhiyo niliamka nikiwa nafuraha sana kwani nilipenda sana mitoko hivyo kaka sikuhiyo alituambia tujiandae tunatoka Nilijianda haraka nilipendeza sana kwani nilikuwa nimevaa jinz na top yangu nyeupe chini nilivaa raba nyeupe na nilipenda kuchomekea Nilivaa hereni za maduara kubwa na nywele zangu nilisuka raster ndefu sana hakika nilipendeza Tulipoambia haya tangurieni tukaingie kwenye gari niliwaacha wakaingia wenzangu mimi nilitoka na kwenda kufungua geti Na nilipofungua get nikawa nje nawasubilia kwa nje gafla niliona gari ya jirani yetu huwa hatu mazoea na majirani kabisa Nae alikuwa ndio anaingia ilikuwa nimida ya jioni nilishangaa moyo wangu ulipostuka kumuona mbaba jirani yetu Nilijikuta

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments