MADAM NIPE KIDOGO BASI 13

MADAM NIPE KIDOGO BASI 13

Basi mahusiano yetu yakawa yanaendelea ila ni kwa siri sana, na mimi ndio niliekuwa natraka usiri, kwa sababu nilikua naona aibu sana kuonekana kuwa nina mahusiano wa kimapenzi na aliekuwa mwanafunzi wake.. Maisha yakaenda na kiukwlei yalikuwa ni mapenzi mujarabu, yaan mubashara, laity kama watu wangekuwa wanajua namna ambavyo nilikuwa napendwa na Kendrick basi wangenionea wivu… Alikuwa anawapenda wanangu wote kama watoto wake wa kuwazaa kabisa, yaan wote wanakuwa wanamuita baba na hio ndio ilikuwa fahar yake, basi akaenda zake chuo, sijui hata alikuwa anafanyaga kazi gani, maana alikuwa anapambana sana kuhudumia familia yake… Alikuwa anasoma engeniariang, na akasoma miaka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments