UDHAIFU WA MR CEO❤ 4--5

UDHAIFU WA MR CEO❤ 4--5

SEHEMU YA NNE* "Naweza kukuajiri moja kw amoja naomba usirudi chuoni, nikaona sasa huyu kachanganyikiwa,naweza vipi kubaki kwenye kampuni yake na wakati sikuwa nimemaliza mtihani wa mwisho, nikakataa akaanza kuniweka vipingamizi vya hapa na pale ila havikufua dafu maana hakuna mtu ambae angemuelewa maana yale ni maslaha yangu, ingawa kishingo upande ila alikubali nikarudi chuo, sasa kule chuoni kuna kijana ambae tulikuwa kwneye hatua za mwanzo zq mahusiano hayakuwa mahusiano rasmi, nikaona nimkubali, kumbe mwamba alikuwa ananifuatilia bila mimi kujua, siku moja niko zangu chuo sijui hili wala lile mara nikatumiwa location ya moja ya mgahawa maarufu snaa kwneye mkoa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments