MADAM NIPE KIDOGO BASI 5

MADAM NIPE KIDOGO BASI 5

“ una kichaa unataka nikupe nini, usitake kunambia kuwa huwa unanifuatilia, si ulishaonywa shulen au unataka kufukuzwa shule si ndio, nikaanza kufoka huku nikiwa naweka nguo zangu vizuri…….. Kendrick akaniangalia kisha akasema ‘ kwa hio uliomuambia mwalimiu Bruno ni uongo?... Nikaanza kushangaa nimemuambia nini, nikawa namuangalia sijui hata ana maanisha nini, nimemuambia mwalimu Bruno nini, na kina uhusiano gani yangu mimi na yeye, sikuwa namuelewa kabisa… “ umemuambia kuwa unanipenda snaa ila hautaki kuharibu kesho yuetu, umemuambia kuwa natakiwa nisome sana ili niweze kukuhudumia madam vicky, umemuambia kuwa hauwezi kuwa na mwanaume mwingine zaidi yangu, sasa huyu ambae umekuja nae

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments