*VERY HANDSOME* *🌸Lover boy💓💓 *_________________________________* *SEHEMU YA 06*

*VERY HANDSOME*   *🌸Lover boy💓💓 *_________________________________*  *SEHEMU YA 06*

Enhe kumbe mimi sijui ndio nasikia leo nilimjibu Ndio hata mimi nina kazi yangu napokea mshahara nimekuja kujiendeleza tu nilisoma mwisho diploma... Ohoo basi ndio maana una akili sana nilimjibu Kawaida tu mbona hata wewe unazo mara mvua ikakata nilimuaga Gerson nikawa nafungua mlango ila nikashindwa.. Ngoja nikusaidie kufungua alisogea akapitisha mkono ili afungue mlango tukajikuta tunagusana... Nilihema kwa kasi hadi mapigo ya moyo 💓 wangu Gerson akasikia. Alifungua mlango wa gari 🚗 kisha akatabasamu 😁 kuna mtu unampenda? Aliniuliza Hapana simpendi mtu yoyote kwanini umeniuliza hivyo ? Kwa sababu macho na moyo 💓 wako vinaongea na ninasikia.... Gerson aliongea

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments