MAHABA YA MZOA TAKA 14 🔞🔞

MAHABA YA MZOA TAKA 14 🔞🔞

Nilimwambia kama amenichoka tuachane sio kila mda kugombana na kunitukana bira kuwa na sababu zisizokuwa na mashiko. Baada ya kumwambia tuachane nilishangaa kuona mwenzangu akipiga makofi na kuongea. "Safi kabisa kwa kuniambia tuachane na ndicho nilichokuwa nikikitaka cha mimi kuachana na wewe tena ikiwezekana sasa ivi beba kile kilichochako na uondoke ndani ya nyumba yangu" Alex aliongea na mimi sikutaka kuendelea kumbembeleza kwani nilikuwa nikijiweza kuishi bira ya uwepo wake. Japo ilikuwa ni mida ya jioni nilienda kukusanya kilichokuwa changu na kumchukua mwanangu Grace kisha baada ya hapo niliondoka na sehemu niliyoenda ni kwa mzoa taka, japo nilikuwa na uwezo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments