
Moyo wa Suzan ulidunda kwa kasi isiyo ya kawaida, jasho jembamba likaanza kumtoka na hofu ilitanda machoni kwake Alijua Victor haongeagi kujifurahisha kila kitu alichokuwa akiahidi alitaka kukitekeleza , Suzan alizidi kurudi nyuma na Victor yalizidi kumsogelea mwisho Suzan alijikuta kama Kalala kwenye siri ya gari na Victor yalizidi kuja juu yake mpaka wakagusana vifua, suzan kengele ya hatari iligonga kichwani kwake , haraka akajiziba mdomo na kufumba macho kwa hofu. “Victor acha utani huu, siwezi kufanya hicho unachotaka. Suzan aliongea huku viganja vya mikono yake vikiwa vimeziba midomo. Victor alimuangalia alafu akacheka kwa sauti “Suzan, usinione kama nafanya mzaha
0 Comments