Surah Al - A'LA '''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''' KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.

Surah Al - A'LA '''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''' KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.

1. Litakase jina la Mola wako Mlezi aliye juu kabisa, 2. Aliye umba, na akaweka sawa, 3. Na ambaye amekadiria na akaongoa, 4. Na aliye otesha malisho, 5. Kisha akayafanya makavu, meusi. 6. Tutakusomesha wala hutasahau, 7. Ila akipenda Mwenyezi Mungu. Hakika Yeye anayajua yaliyo dhaahiri na yaliyo fichikana. 8. Na tutakusahilishia yawe mepesi. 9. Basi kumbusha, kama kukumbusha kunafaa. 10. Atakumbuka mwenye kuogopa. 11. Na atajitenga mbali nayo mpotovu, 12. Ambaye atauingia Moto mkubwa. 13. Tena humo hatakufa wala hawi hai. 14. Hakika amekwisha fanikiwa aliye jitakasa. 15. Na akakumbuka jina la Mola wake Mlezi, na akasali. 16. Lakini

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments