
ILIPOISHIA, "Hee!, kwanini unafunga mlango?" Nilimuuliza kwa mshangao. "Karibu kitandani kuna zawadi yako..." alitamka kisha akataka kunishika..ndipo.. SONGA NAYO.... Baada ya kuniambia nikaribie kitandani, nilistajabu sana kwani Dicky nilikuwa namuheshimu sana kama Rafiki yangu. Kwa mbali nilianza kuona kama kuna dalili mbaya anataka kunifanyia ndipo kijasho chembamba kilivyoanza kunitoka kwani kiukweli nilikuwa bado sijawahi kulala na mwanaume yeyote. Niliangaza macho yangu huku na kule kisha nikamuuliza, "Zawadi gani ambayo haionekani mpaka kitandani" Baada ya kuambiwa hivo, alinyanyuka kitandani hepo ndipo nilipobaki na mshangao mkubwa kwa nilichokiona. Pensi yake kwa mbele ilivimba na kuchongoka gafla huku kwa ndani kukionekana kama kuna
0 Comments