NIPE YOTE DADY 34

NIPE YOTE DADY 34

Niilitoa sim yangu na kumpigia haikuita hata mara mbili akapokea "hello my queen " yes mambo " "poa i miss you" "miss you more vp uko wapi!?" "Niko hoteln vp naweza kukuona !?" "hahaha nimekupigia ili kukuuliza hivyo hivyo okay tukutane wapi?" Alinijibu sikuchelewa nikaenda chap. Baada ya mda nilifika nakukuta akinisubiri alivyoniona tu akasimama nilitabasamu na kuongeza mwendo alivyo na vituko akanifuatana kunishika mkono eti "nimeona nikusindikize usije kufika mwenyewe". Nilicheka na kukaa kisha akaanza kuniuliza maswali kadhaa kuhusu afya yangu na ninavyoendelea nilijibu huku nikitaka kucheka maana alivyokuwa amekaa ukimuona unaweza kusema huyu mtu yuko serous kweli Basi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments