
ILIPOISHIA, "Mimi nakupenda sana, sorry naomba nifungulie mlango nichukue ka mkoba kangu nimekaacha sebuleni ..." Nilitamka huku nikiomba ndipo......... SONGA NAYO... Baada ya kumwambia hivyo, alikaa kimya kidogo huku akihema kama beberu kisha akatamka, " Mkoba hauna shida maana Mlango umefungwa...tumalizie kwanza maana tutakatisha utamu" Maneno hayo yelinikata maini kabisa huku nikiwa nimeishiwa pozi. "Basi ngoja nikaoge maana najihisi joto kidogo..." nilimwambia. "Ohoo sawa bafu hili hapa fungua mlango..." alitamka. Japo sikuwa na nia ya kuoga, nililazimika kwenda bafuni ili nichekeweshe mda walau mpini wake uweze kusinyaa. Nilinyanyuka kitandani hapo na kutaka kwenda bafuni ambalo lilikuwa ndani humo yaani (
0 Comments