MARIA Sehemu 16

MARIA   Sehemu 16

MARIA Sehemu 16 Nazinduka niko hospital nimelala na madrip na mpira wa kupumulia pemben namuona mme wangu na mama na bahat, mme wangu akaniambia umeamka mpnz wangu unajiskiaje? nikamwambia nn kimetokea kwani? Mbona nipo hapa? akasema uliumwa gafra mke wangu tukakuleta hospital nikasema ahaa mbona tumbo langu jepesi mme wangu alishindwa kujibu bas akaitwa daktar akanichek akatoa mpira akasema pole sana akasema kuna wagen wengn nje ila hampaswi kuwepo weng huku ICU jmn kumbe nilikuwa chumba cha wagonjwa mahutut mme wangu akasema mm sitok hapa huyu ni mke wangu, mama na bahat wakatoka akaingia wifi angu na mama mkwe wakanipa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments