MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ Sehemu ya 15

MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ Sehemu ya 15

MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ Sehemu ya 15 Mwandishi :lissa mwalla TUENDELEE Tukaanza kumpepea haamki tukampakiza kwenye gar tukampeleka dispensary ya hapo kijijin wakamuhudumia tukalipia tukawa nje tunasubir mara akaja bibi mmoja akasema nimeambiwa mama maria amedondoka ameletwa huku nikastuka 😳😳😳mama maria? bamdogo akamwambia ndio yupo ndani mm nikawa sielewi nilichoskia n sahihi maskion kwangu au sijaskia vizur, nikamuliza baba mdogo huyu mama tuliemleta anaitwa mama maria?anamtoto anaitwa maria au sijaskia vizuri? bamdogo akasema umeskia sahihi huyu ndio mama yako aliekuzaa maria, heeeeeeeee jamani nilikosa nguvu matukio ya kunilaza stoo,vile vipigo kunyimwa chakula kula makombo vipigo kunifata kino kunitukana na mwanae kunipigaa na kuninyang'anya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments