
MARIAπππππππππ Sehemu ya 17 Mwandishi :lissa mwalla Page Bahari ya simulizi TUENDELEE Nikawasha gar nikiwa na mchungaj hadi mahal nilipoelekezwa, nikashuka nje ya get mana kuna get dogo pia lilikua waz nikaingia nikamkuta shemej alienipigia simu seblen yupo na huyo joan nikauliza mme wangu yuko wap shemej akanijib et yuko chumbn sikuuliza kitu kingine, nikafata korido nikakuta chumba kipo waz nikaingia namkuta mme wangu kipenz amelala kitandan uchi wa mnyama kama alivozaliwa nikaangaza macho machozi yakinitoka huku nasali nikaona nguo zipo chin naona walitaka kufanya yao sasa sijui nn kilitokea nikamvesha mme wangu mpenzi huku nasali nikamuita mchungaj akaja na
0 Comments