MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ Sehemu ya 11

MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ Sehemu ya 11

MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ Sehemu ya 11 Mwandishi :lissa mwalla Page Bahari ya simulizi TUENDELEE Nikalia mnooo nikapiga got nikasali sana nikamwambia Mungu nampenda derick bas kama n mume wangu arudi kwangu kama sio basi asirudi, nikasali nikamuombea wifi angu na nico nikamuombea derick na mwanangu, kisha nikamwambia wifi yalojili akasema wala usiumie mm nitamwambia basi usijali, nikasema hapana labda anamke akasema maria kakangu alikupenda sana na najua bado anakupenda mapenzi ya vile hayafi maria derick alikua tyr kwa lolote juu yako na haswa ajue una dam yake weweee hawezi pindua, we niachie mimi usijal mm nitamwambia, nikasema sawa, akasema vip mtoto shule

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments