
MARIAπππππππππ Sehemu ya 12 Mwandishi :lissa mwalla TUENDELEE ikafika zamu yake hapo sijui hakuniona tukampa chakula ndio akaniona sasa akaniangalia kwa mshangao tu mie niko busy nasevu huku nawakaribisha wageni wangu ,hakufanya kitu wala hakusema kitu. siku io ikapita nikalipwa changu na watu kibao wakachukua namba walipenda chakula na mc alitangaza kimepikwa na nani, nikasema maria mm Mungu kaniona sikuacha kulipa fungu la kumi na kusaidia wasojiweza. basi nikaendelea na maisha huku baba d anaendelea kuwasiliana nami na wifi yangu pia tunawasiliana. siku moja nikiwa nimepumzika nyumbn wasichana wangu wameenda kariakoo kujitaftia vitu vyao mara mlango ukagongwa wa ndan, nyumba
0 Comments