MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ Sehemu ya 13

MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ Sehemu ya 13

MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ Sehemu ya 13 Mwandishi :lissa mwalla TUENDELEE Mmh Nikamwambia bby mm sina ndugu nikamuelekeza akasema tutaenda jengea makabur bas na huyo mjomba ako aliepo tukamuone basi, nikaona anasisitiza nikamwambia sawa akasema ngoja aweke mambo vizur kazini achukue ruhusa twende nikamwambia sawa ila kabla ya kwenda ludewa jumapil ijayo twende nyumbn nikakutambulishe official na kuwaambia lengo langu nikamwambia sawa, ilikua jumapil siku io ikapita kesho yake akaenda kazn mm huwa naenda ofcn pia mana nilifungua fast food kubwa tu nakua naangalia wafanyakaz wanafanyaje na kupiga mahesabu basi nikaenda ofcn nikiwaza cha kufanya nikakumbuka kumtafuta bahati nikawaza niende kwa mama mwenye

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments