MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ Sehemu ya 14

MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ Sehemu ya 14

MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ Sehemu ya 14 Mwandishi :lissa mwalla TUENDELEE Sikuamini bado au naota, Nikamwangalia kwa ukaribu n yeye kabisa yuko bize na mmama simfaham nae, Mara akaondolewa na mzee mmoja ivi sikujua kwa nini nikawa nawaza bas sherehe ikaendelea hadi usiku lkn sikumuona tena mama sasha nikahisi naona viini macho, usiku baada ya sherehe derrick aligoma kulala peke ake kabisa alitaka alale na mie sasa kashamisi tunda lake anataka akajilie ikabidi niende gest d nikamwacha na watoto wa shangaz bas baada ya kupeana vyetu nilimsimulia mikasa ilonikuta kijjn kabla. Ya kuja mjini na sikuona tabu mana yeye ndio alikua wa kwanza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments