MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ Sehemu ya 18

MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ Sehemu ya 18

MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ Sehemu ya 18 Mwandishi :lissa mwalla Page Bahari ya simulizi TUENDELEE M sijui alijibiwa nn yy akasema hayo ndo mambo sasa fanya muamala fasta mm leo nitaweka dawa ktk juic mana wanajifanya hawali nyumbn wakinywa tu watachukiana wote hatimae wataachana ww utachukua mjengo huu na mm utanipa changu kile kiwanja kama tulivokubaliana akajibiwa nae akajibu naona ww tulia niachie mm nammudu huyu mshamba nilimleta mjin mwenyew kinyago nilikichonga mwenyew kwa nini kinitishe? tulia tu na ile siku ya mimba ilibidi aondoke nayo nikamuonea iman tu nikaweka dawa kidogo mm ananikera mbwa huyu anajishaua kama kazaliwa tajir kumbe maskin mbwaa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments