
, wakati huo alikua na miaka minne. Ingawa nilikua nimeshaachana na huyo mwanamke nalea tu mtoto kwani nilitambua kosa langu lakini mke wangu alikasirika sana. Niliomba sana msamaha lakini hakutaka kunisikiliza, aliniambia moja kwa moja kuwa nichague kati ya mtoto niliyezaa na huyo mwanamke au ndoa yangu. Aliniambia kama nataka abaki basi nisiwasiliane na huyo mwanamke na hataki kusikia kitu chochote, hata matumizi alikua hataki nimtumie. Kwakua nilikua nampenda sana mke wangu nilikubali kukata mawasiliano kablsa na Mama wa mtoto wangu lakini sikua tayari kumtelekeza mwanangu, nilimfungulia mtoto akaunti na kila mwisho wa mwezi nilikua namuwekea mtoto bila kuwasiliana naye,
0 Comments