MIMBA YA DHARURA 10

MIMBA YA DHARURA 10

Amina alibaki ameduwaa, macho yakimtazama rafiki yake kana kwamba hakuamini kile alichokisikia. “Nadia unasema Kabir ameoa? Na sherehe ile ilikuwa ni yake?” aliuliza kwa mshangao. Nadia alifunika uso wake kwa viganja vyake viwili, machozi yalitiririka taratibu. “Ndiyo Amina mbele ya macho yangu nimeona kila kitu, nimeona upendo wake kwa mke wake, nimeona furaha yake. Na hapo ndipo moyo wangu ulinikumbusha kuwa mimi na mwanangu hatuna nafasi tena kwake.” Amina alimsogelea akamkumbatia kwa nguvu. “Pole sana rafiki yangu, lakini kumbuka hata bila kabir maisha bado yanaendelea. Hata kama Kabir ameoa, wewe bado una hazina kubwa mtoto wako Tawakal. Huyo ndiye faraja

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments