MWISHO WA AI... Bill Gates: Hata baada ya miaka mia moja, kutabaki eneo moja lisiloshikika na akili bandia (AI), nalo ni kutengeneza programu(Programming).

MWISHO WA AI... Bill Gates: Hata baada ya miaka mia moja, kutabaki eneo moja lisiloshikika na akili bandia (AI), nalo ni kutengeneza programu(Programming).

MWISHO WA AI... Bill Gates: Hata baada ya miaka mia moja, kutabaki eneo moja lisiloshikika na akili bandia (AI), nalo ni kutengeneza programu(Programming). Taaluma hii itasalia kuwa ya binadamu kikamilifu." Na akaongeza alipokuwa akizungumza na France Inter: "kutengeneza programu kunahitaji uwezo wa kipekee wa kupambana na uendeshaji wa kiotomatiki, hivyo hakuna mashine inayoweza kuiga akili ya mwanadamu anayetengeneza programu." Taja maeneo mengine ambayo AI hainusi kitu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments