
*___________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Bana bana mwenzenu si yakanikuta yakunikuta, sikuwa najua kuwa wanajeshi muda mwingine nao wanafanyaga majukum mengine ya kikazi mbali na shughuli zao za jeshi.. Basi naitwa Sophia, ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salam, UDSM, siku moja nilichelewa kwenye mtihan wangu wa mwisho wa mwaka wa tatu, kwa maana ya UE kutokana na jam, na kama mnavyojua dar na jam za bara baran kama wana undugu hivi... Basi bana ile nafika nikakutana na mkufunzi ambae alikuwa anatufundisha kila siku, akaniulzia "mbona umechelewa sana sophy?.. Nikacheka na kumuambia "jam ndio imesababisha, nilikuwa naongea kiutan maana
0 Comments