MIMBA YA DHARURA 15

MIMBA YA DHARURA 15

Misukosuko haikuishia kati ya kabir na jayden mara kwa mara walikuwa wakipishana kauli. Nadia akiona hali inaenda kuwa mbaya aliamua kuchukua maamuzi magumu . Siku hiyo alitoka ofisini kwake akaenda ofisini kwa kabir. " Karibu sana mwandani wa moyo wangu. Nadia akiweka barua mezani kwa kabir. " Boss hii ni barua yangu ya kuacha kazi. Kabir alimuangalia usoni kwa makini kisha akachukua ile barua na kuisoma. " Nini sababu ya wewe kuacha kazi? " Nilijua mambo yanaenda sawa lakini naona kila siku zinavyoenda mambo yanazidi kuwa magumu kelele kati yako na jayden haziishii. Kabir alimuangalia kisha akaichana ile barua na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments