UDHAIFU WA MR CEO Chapter 9

UDHAIFU WA MR CEO Chapter 9

Nilishaanza kumuogopa, kwa maana kuanzia namfahamu sijawah hata mara moja kumuona katika hali kama ile, kuna namna nikawa kama naanza kumuogopa maana sikuona kama ni hali ya kawaida, niliona kama anaweza kuja kuniua, nikasimama na kutaka kuondoka, akanifata na kunikumbatia kwa nguvu kisha akasema naomba usiniache mamaa naomba usiniache, wewe ndio dawa yangu nimechoka kunywa dawa, hata kama ukinikasirikia ila hakikisha kuwa hauendi mbali na mimi, nimechoka kunywa dawa kwa miaka mingi, watu wanajua kuwa nina pesa ila mimi ni mpweke sana, na upweke wangu umefanikiwa kuuondoa wewe tu naomba usiniache.... Alikuwa anaongea kama mtoto mdogo ambae hakuwa na cha

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments