MTOTO WA MAID ACHIA MOYO WANGU❤ 3--4

MTOTO WA MAID ACHIA MOYO WANGU❤ 3--4

Chapter 3 Vipindi viliendelea, ulifika muda wa kipindi chake. kila mtu alikaa kimtego darasani tukabaki wawili tu, ambao tulikuwa kawaida, wengine wote waliacha mapaja wazi, Teacher aliingia. akawapuuza tu, alifundisha, ila kuna namna akawa anatazama sana upande wa Rozi, baada ya kumaliza kufundisha akaomba darasa tujitambulishe, tukawa tunajitambukisha kwa majina kila mtu, tulijitambulisha, akashukuru na kuondoka, baada ya muda akaomba saa moja ya kila mtu kujitambulisha, in deep, sio tu majina, watu wote walikubali kwa furaha, tuliombwa tujadili kisha majibu tumpe kiongozi wa darasa ampelekee, tulijadili, wakatoa muda upi tumpe mwalimu, nikatakiwa kupeleka Rozi akaomba yeye apeleke, watu darasani wakagoma

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments