
Niliamua kuvunga tu, ila tayari sikuwa namuelewa, nilianza kumhisi vibaya tu, tuliondoka kuludi nyumbani na yeye ndie alikuwa zamu, sikuwa na shobo kabisa ata na sms zake, tulivyofika nilisahau kabisa kama nimeolewa, na mawazo yalikiwa mengi mno, si nikajikuta napanda Bolt kwenda nyumbani, nikiwa njiani ndo naona napigiwa simu na Amir ndo nikakumbuka nimeolewa, dah nilichoka nikamuomba Bolt anilidishe nitamlioa make tulikuwa tushafika mbari... Sikupokea simu nilisubiri ikakata nikamtumia tu sms ya wapi tukutane, alijibu kwa nini nimemuacha?, sikuijibu, nilikuwa siko sawa tu,nililudi nakukuta yuko ananisibiri, aliwahi kufika kabla yangu, alikuwa kapanic ulienda wapi? Nilimtizama sio kwa uoga ata, nikamwambia
0 Comments