MKASA WA MAISHA YA MWANAMKE MAGRET J MASAMA MWENYEJI WA MBEYA Sehemu ya Kwanza ( 1 )

MKASA WA MAISHA YA MWANAMKE MAGRET J MASAMA MWENYEJI WA MBEYA Sehemu ya Kwanza  ( 1 )

************* @Kila Mtu 💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝 ...............kwa jina naitwa magret j masama") mwenyeji wa mbeya nakumbuka ilikuwa mwaka 2003 nimetoka zangu shamba kuchimba viazi mkononi wa kulia nilikamata gunia la viazi vitamu,uku mkono wa kushuto ukiwa na jembe ,uso wangu ulijaa tabasamu mwanana sio sababu ya kupata viazi vingi laha hasha. Kulikuwa na sababu kubwa katika maisha yangu sababu ya yote nikuwa nimefanikiwa kuvuka kidato cha nne na kuingia cha tano nilifikiria maisha yangu yanavyoenda kuwa mazuri maana ni kama bahati baada ya matokeo kutoka majina ya watu 7 pekee ndiyo waliofanikiwa kwenda kidato cha tano na jina langu lilikuwepo nikiwa ni

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments