SAFARI YA MAREKANI KWA UNGO NILIFIKA HADI NEW YORK CITY (KUMTAFUTA ISABELLA KIPENZI CHANGU) SEHEMU YA KWANZA

SAFARI YA MAREKANI KWA UNGO NILIFIKA HADI NEW YORK CITY (KUMTAFUTA ISABELLA KIPENZI CHANGU) SEHEMU YA KWANZA

Nikiwa kijana wa miaka 9 ndipo nilipo fundishwa uchawi na bibi yangu nakumbuka siku moja usiku wa manane niliitwa jina langu kwa sauti ya kutisha sana nilikuwa naogopa sana nani ananiita usiku huu nilihisi hata kelele za mkeka niliolalia wakati wa kugeuka unapiga kelele nyingi nilitetemeka sana pale nilipo ona kivuli cha mtu kikinisogea kwa kwa kasi sana nakupotea mbele ya macho yangu mkojo ukawa unatoka wenyewe nikaitwa tena kwa sauti kubwa huku nikiambiwa itika mjukuu wangu wanguuu wanguuu, mimi ndio mwenye nguvu hapa kijijini nawewe utakuwa kama mimi bibi yako ,nilianza kupumua kwa kasi na kupoze fahamu hapo hapo\par

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments