🚨🚨UPDATE: Baada ya kukaa kikao kirefu cha upembuzi viongozi wa Yanga wamesitisha dili la kocha kutoka Madagascar,Romuald Rakotondrabe.

🚨🚨UPDATE: Baada ya kukaa kikao kirefu cha upembuzi viongozi wa Yanga wamesitisha dili la kocha kutoka Madagascar,Romuald Rakotondrabe.

Pamoja na kwamba Yanga walimtumia “offer letter” kocha huyo na alitakiwa kutua nchini jumamosi ya leo ili kusaini mkataba wa miaka miwili…..Ila baada ya kikao cha juzi kocha huyo ametemwa **baadhi ya viongozi wa Yanga wametilia shaka uwezo wake** Sasa Yanga wameamua kubaki na Romain Folz,kisha kwenye benchi la ufundi ataongezwa msaidizi mwingine ili kuongeza ujuzi na ufundi. Note: Yanga wataangalia kwa karibu Performance ya timu kama mambo yatazidi kuwa magumu….Folz atafukuzwa haraka sana.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments