MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 15 ,16 Kingston alisimama baada ya kuisikia ile kauli ya kuogeshwa😂😂😂akageuka akaniangaliaaaaaa...

MMMH  DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 15 ,16  Kingston alisimama baada ya kuisikia ile kauli ya kuogeshwa😂😂😂akageuka akaniangaliaaaaaa...

Then akaniambia hiyo siyo kazi yako ninaweza kuoga mwenyewe... Mxiiiwww mbona ananikazia😔😔😔...kwa hiyo nimwambie mama kuwa unaweza kujiogesha peke yako siyo😒 What is your problem zarina 🥺🥺 are you out of your mind??... Alianza kunifokea kizungu ata sivielewi nikaamua kuondoka zangu kuelekea jikoni.. Nilimwandalia chakula utafikili namwandalia rais wa nchi😂😂 Nilikuwa nafanya hivyo at least kijana wa watu aone kitu kwangu maana ni mgumu huyo watu wa arusha sijui wakoje😂kuwashawishi si kazi rahisi.. Nilipika haraka chakula anachokipenda The Boy nikamwandalia mezani.. Alishuka chini baada ya kuoga akakuta chakula tayar kiko mezani🤩 Alionja kisha nikaona ananiangalia😂😂Mama weee au nimeboronga🙈 Wakati natetemeka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments