
kwangu......siku hiyo bwana kulikuwepo na wingu jeusi lilioashilia kunyesha kwa mvua...... upepo mkali sana ulikuwa ukivuma kutokea kasikazini, magharibi hadi mashariki pia....... baridi ilikuwa ni kali sana😌😌 nilikuwa ndani ya gari langu naendesha mdogo mdogo huku nikiwa nayaangaza macho yangu kwa umakini zaidi barabarani ili nisije kusababisha ajali......kabla hata sijakaribia mtaa ninaoishi Lilianza kunyesha bonge la mvua😫😫ni mvua iliyokuwa imeambatana na upepo mkali sana niliongeza mwendo kidogo wa gari.....nilipofika pembezoni mwa njia panda ya kuingilia nyumbani kwangu nilipunguza mwendo ili niweze kukata kona.. Wakati nakata kona mmhhh🤔🤔nikamuona mtu anahangaika katika baiskeli haikuwa baiskeli ya kawaida ni zile za walemavu🥹🥹 Mtu
0 Comments