
kwa mtu unayemcrashia🙈 unakuwa huwezi kumwangalia akiwa karibu yako.. Aliniambia et niende chumbani kwake kwenye droo kuna dawa ya kuchua nimletee🥰🥰🥰.. Nilielekea chumbani wakati naangaza dawa nikashangaa Kingston amenifuata kule chumbani😳😳nilitetemeka😂🙌 Alikaa kitandani akanishika don't be afraid...endelea kutafuta dawa.. Niliendelea kutafuta dawa mpaka nikaipata🥰🥰nilimpatia akaipokea then akaniomba niketi pale kitandani lol lol lol sema kuogopa😂😂🙈 Nilikaa lakini hapo natetemeka mpaka jasho linanitoka🙈🙈 Baada ya kuketi kitandani nikashangaa Boy ananilaza chali 😳😳 apana kaka unataka kufanyaje... Sauti iliniumbua kwa jinsi nilivyokuwa najisikia hisia mpaka sauti ilibadilika🙈 Alirudia kuniambia Don't worry Zarina tulia mi nataka nikupatie matibabu... Oooh kumbe basi nikakituliza🙈lakini kila
0 Comments