MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*🥰😋 Chapter 9 Baadaa ya Saraah kupewaa matibabu yale yaliyokuwa chini na usimamizi wa Dr Abdulh, Dr Abdulh Anaamuaa Kumfata Saraah Katika kile Chumbaa

MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*🥰😋  Chapter 9  Baadaa ya Saraah kupewaa matibabu yale yaliyokuwa chini na usimamizi wa Dr Abdulh, Dr Abdulh Anaamuaa Kumfata Saraah Katika kile Chumbaa

Alichokuwa akipata matibabu. "Saraaah mm nakupendaa sanaa mm ndiye rafiki wa utotoni mwako Saraah nakuombaa sanaa ukubali upendo wangu maana nakupendaa sanaa Saraah "Dr Abdulh Alisemaa huku akisubirii jibu kutokaa kwa Saraah.. Saraah Mahali alipokuwa amekaa Kwa mbali kidogo Jordan anaoneka akiwa amesimama njee ya gari huku anaongeaa na simu Saraah alimuonaa na kitikisaa kichwaa. "Saraah Saraah ivi mm naongea wewe uko busy na kuangaliaa mambo yako Dr Abdulh Alisemaa huku akiwaa na hasira saanaa Saraah kwa jicho la hurumaa alimuangalia Dr. Abdulh Na kumwambiaa ivil yawezekana Abdulh wa zamn na wasasa wakatofautina tabiaa, ilaa hapana sijasemaa kitu naombaa nipumzikee

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments