MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA *SEHEMU YA 17,18 Binti aliyekuwa chaguo la wazazi ni Mary..yule Dada wa kichaga😣😣😣..

MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA  *SEHEMU YA 17,18  Binti aliyekuwa chaguo la wazazi ni Mary..yule Dada wa kichaga😣😣😣..

na yule aliyesababisha kampuni kuyumba ambaye ndo chaguo la Kingston wazazi hawakumridhia.. Kingston anadai yeye hakumpenda Mary na baada ya kuona wazazi wameshaanza kuandaa ndoa yake na Mary... hapo ndipo alipoanza kuigiza huo ugonjwa wake ilimradi tu asiweze kufunga ndoa na Mary 😳😳😳 Maigizo yake yalizaa matunda kwa kiasi kikubwa sana... Wazazi wa Kingston waliamini kweli kijana wao ni mgonjwa hivyo wakaanza kuhangaika sehemu mbalimbali kumtafutia tiba lakini hawakufanikiwa🥹🥹.. Kingston ilibidi aanze kuwa anabakia nyumbani kama mtoto mwenye utindio wa ubongo na mara nyingi alikuwa chini ya uangalizi wa wazazi wake.. Wazazi baada ya kuona makampuni yao yanazidi kulala walianza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments