MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?* *___________* *SEHEMU YA 01...02* Jamani maisha haya sometimes yanatufanya tufanye kila jambo ilimradi tu tuzipate hizo sasampa😁😁

MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?*  *___________*  *SEHEMU YA 01...02*  Jamani maisha haya sometimes yanatufanya tufanye kila jambo ilimradi tu tuzipate hizo sasampa😁😁

Mwenzenu mimi nilitamani sana nisome ili nije kuyabadirisha maisha ya kwetu maana maisha yetu yalikuwa ni magumu kupita kiasi.. Nilifanikiwa kumaliza primary nikajiunga na secondary kiukweli wala sijui nilifaulu vipi maana hata hizo akili my wenu sikujaaliwa kuwa nazo😁 Nilivofika secondary hali ilizidi kuwa mbaya kichwani nikazidi kuwa empty yani nilikuwa naenda tu shule kumridhisha mama maana alikuwa anapiga vibarua nisome ili kesho nimsaidie.. Nilipambana mwaka wa kwanza secondary ukapita ukaingia mwaka wa pili udada ukanikolea nikaanza usumbufu wa hapa na pale 😑ukafika mtihani wa 4m2 nikafeli na huo ndo ukawa mwisho wa masomo yangu .. Baada ya ndoto za

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments