MMMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 12* Boy akanivuta karibu yake zero distance nyieeee nilishindwa mpaka kuhema🙈🙈hata kumtizama sikuweza😂😂

MMMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA  SEHEMU YA 12*  Boy akanivuta karibu yake zero distance nyieeee nilishindwa mpaka kuhema🙈🙈hata kumtizama sikuweza😂😂

Niliziba macho mshikaji akanitoa mikono machoni akaniambia am sorry sikudhamilia kukuumiza I'm very sorry😔😔 Anaongea vizuri sauti fulani hivi🫦🫦💋yani hata sikuwa nazingatia what he talking about🥰🥰 mwenzenu kila kitu nilkuwa naitikia tu🤣🤣 Jamaa wakati ananibembeleza ghafla tukashtushwa na kengere ya getini... Kabla sijaondoka kule chumbani Kingston aliniambia najua hao ni wazazi wangu nakuomba usiseme chochote.. Nilishangaa kichwani nikajiuliza kwanini anafanya hivyo???.. Ukizingatia nishamuogopa kutokana na ile sura aliyonionyeshea wala sikutaka kumpinga kwa chochote... Nilitoka kule chumbani kwake haraka nikaenda kuvua zile nguo nilizokojolea nikatupia kijola then nikaenda kuwafungulia wazazi.. Baada tu ya kufungua geit nikashangaa baba na mama Kingston wananikodolea

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments