MJESHI WANGU ___01 05 ......"mwajuuuu!! We mwajuu...! Mwajuma....." nilikuwa nikimsikia dada yangu ananiiita kwa Fujo kwelii ,sikutaka kuitika nilikuwa kimyaaa kwa sababu nilijua nilicho kifanya huko ndani, nilikuwa nmejibana kimyaa nyuma ya mti mkubwa

ulio kuwa mbele kabisa na nyumba yetu Nilimsikia mama nae anamjibu kwa hasiraa "Bwana hayupo embu nitolee kelelee" "Ila mama unamuona mwajuu!! Nguo zangu nmenunua mpya hata sijaziva yeye tayari amevaa,mamaaa " "Mtajuana wenyewe bwana" "Tutajuana wenyewe eeh sawa ngoja nimkute huko huko kwenye ma bar yake" Nilisikia da Lucy sauti yake ilikuwa inatoka imejawa chuki na hasira juu yangu ,niliposikia anasema kunifata nilikimbia mpaka kwenye bar moja hivi IPO mbele ya nyumba yetu, nikaingia kujificha nyuma ya mlango wa kaunta maana da Lucy namjua vizur angenidhalilisha nguo zake nimechukua bila hata kumuomba, Da Lucy alipita kunitafuta bar zote pale

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments