
lakini alikuwa ananipenda huyo maana yeye hakubahatika kuwa na mtoto hali iliyopelekea babangu kutafuta mwanamke mwingine kuzaa nae ambaye ni mamangu mzazi lakini mamangu hakuwahi nilea ni kama walimtumia tu awazalie wakamlipa kwa kumjengea nyumba kubwa tu na ata sikuruhusiwaga kwenda kwa mama kabisa niliwahi kwenda mara moja tu wakati nipo darasa la kwanza sikukanyaga tena lakini mama alikuwa anakuja kuniona angalau kwa mwaka mara moja na alikuwa anapokelewa vizuri tu kwakweli,na akiondoka pia walikuwa wanamfungashia zawad mbalimbali arudi nazo kwake akawa kama ndugu kwao Mamangu pia alikuwa na watoto wengine wawili lakini sikuwahi kujuana nao kivile nawaona ona tu
0 Comments