MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️* *06-07

MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️* *06-07

*___________* *SEHEMU YA 06* Tulibishana sana na Hemed pale nje kuanzia saa tatu mpaka saa tano nilipoona mida inazidi kusonga na chakula kinapoa ikabidi nikubali tu kuingiza chakula ndani tule wote.. Nilikuwa nasikia njaa mpaka utumbo unatetemeka lakini sikuwa na mpango wa kula😰.. Nilipanga chakula mezani nilipomaliza nikamkaribisha... nilimnawisha mikono kwa adabu nikiwa nimepiga goti hahaaa ndo mama alivonilea jamani🙈 Hemed alikuwa ananawa tu bila kuiangalia mikono yake macho yake yote yalikuwa usoni mwangu🥺🥺.. Alimaliza kunawa nami nikanawa nikamuita na mdogo wangu poppy tukala pamoja🥰🥰🥰chakula cha wengi ndo kinakuwaga kitamu hivo.. Tulienjoy sana chakula tukashushia na juice ya baridi baada

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments