MPANGAJI 04 🍏🫐 °°°° Asubuh na mapema Sele aliamka na kufanya mazoezi kiasi kama ilivyokuwa kawaida

MPANGAJI 04 🍏🫐  °°°°  Asubuh na mapema Sele aliamka na kufanya mazoezi kiasi kama ilivyokuwa kawaida

yake, akitumia vifaa kadhaa alivyokuwa navyo, alipiga push up za kutosha na mazoezi mengine kisha akaenda bafuni na kuoga na siku hiyo aliamua kuvaa nguo za kawaida kabisa, alivaa pensi na raba kisha akavaa na kofia moja matata iliyokua na herufi chache tu “CK” kisha alifungua kwenye begi lake na kutoa kiasi cha pesa na kuhesabu noti kadhaa na kuzitia kwenye waleti yake halafu akatoa simu yake na kukuta missed calls mbili za Esta, “la haulaa!” alijisemea sasa akivuta begi lake na kuchukua ufunguo mezani na kutokomea nje Alimkuta Esta akiwa mlangoni na begi lake tayri kwa safari.. Mama Mwajuma

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments