
Jasmine alinyanyua begi la Leon kwa utulivu, akitembea huku akimfuata . Leon akatembea haraka kuelekea kwenye gari lake la kifahari. Akafungua mlango, kisha akamkodolea macho Jasmine ambae alikuwa kasimama. “Ingilia haraka tunachelewa. Jasmine alipanda akakaa kwenye kiti cha pembeni ya dereva, leon akafunga mlango kisha bar akaenda kupanda na kuwasha gari. Safari yote ndani ya gari, kimya kilitawala. Leon alishika usukani kwa nguvu, macho yake yakiwa barabarani lakini akili yake ilikuwa ikisumbuliwa na kitu kimoja busu la Jasmine. Kila alipojaribu kulisahau alishindwa hasa alipokuwa akimuona yupo karibu yake. Jasmine, kwa upande wake, alikaa akimuanga Leon taratibu, macho yake yakiwa na
0 Comments