MR ARROGANT 14&15*

MR ARROGANT 14&15*

Hatimae Mchana ulipita, jioni ilipokaribia, Leon alimpigia Jasmine simu. “Njoo ofisini kwangu kabla hujaondoka.” " Sawa boss. Baada ya sekunde chache Jasmine alifika ofisini kwa Leon alikaa kwenye kiti bila hata kuambiwa. “Boss, umeniita?” aliuliza kwa tabasamu. Leon alinyanyuka taratibu, akamfuata kwa hatua huku akiwa ameweka mikono yake mifukoni, akimtazama kwa macho ya moja kwa moja. “Jasmine… nimechoka kupigana na moyo wangu Bata ka kufanya jambo la kufanya wote tuwe sawa. Jasmine akashtuka kidogo alijua huenda ndio ikawa mwisho wa kazi yake. Alisimama akamuangalia Leon usoni. " Unataka kunifukuza kazi? " kwani wewe unataka ni hilo litokee? Jasmine alikuwa mpole

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments