MR ARROGANT 💎🔥* ______________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA SITA*

MR ARROGANT 💎🔥* ______________________________________*  *SEHEMU YA KUMI NA SITA*

Paul alibaki ameduwaa mlangoni, macho yalimtoka kwa kile alichokiona. Leon na jasmi nao walishituka , haraka Jasmine alijiondoa mikononi mwa Leon huku uso wake ukiwa umejaa aibu, alitafuta mahali pa kujificha lakini Leon lakini hakujua aende wapi Leon alimshika mkono wake, huku akimuangalia Paul kwa jicho kali. “Pole, samahani sikutaka kuingilia.... nimegonga lakini sijui tukiwa nikajua umetoka ... Yani hakuna mtu ndani. Paul aliongea kwa sauti ya chini yenye kigugumizi, ila macho yake hayakuacha kuonyesha mshangao. “Unataka nini hapa?” Leon aliuliza kwa sauti ya amri, akimuangalia moja kwa moja bila kupepesa macho “Nilikuwa… nilikuwa na ripoti ya uhasibu, boss alafu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments