DOCTOR BOSS ANATAKA TENA EP 13.

DOCTOR BOSS ANATAKA TENA EP 13.

Nilijikuta naumia jinsi alivyo nikaanza kumuomba T tumpeleke hosptal, akasema nipambane nikapiga magoti kumuomba anisaidie make hali yangu sio nzuri pia na huyu yuko hoi, tumsaidie, T alinionea huruma tukamrudisha hosptal nikaanza kumuuguza, alivyokuja kupata fahamu akaniona alifurahi mno, akataka kuinuka lakini hakuwa na nguvu,alibaki kutoa tu machozi uku anauliza kwa sauti ya chini sana nilikuwa wapi? Kwanini nimemkimbia, sikuwa atanajibu zaidi ya kuria tu, uku nimemshika mkono, alifurahi mno, nililala pale pale hosptal, alikuwa na madoctor wake specil wawili tu, hakuna aliejua kama CEO yuko hosptal anaumwa make tulimuuguzia ofcn kwake, kwenye kale ka chumba kake... Nilimuuguza baada ya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments