NI JAMBAZI ILA ANAYAJUA MAHABA πŸ™ˆ♥️🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ 26____30

NI JAMBAZI ILA ANAYAJUA MAHABA πŸ™ˆ♥️🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ 26____30

𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 π‘Ίπ’Šπ’Žπ’–π’π’Šπ’›π’Š πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„ SEHEMU YA 26 Siku zilizidi Kwenda Huku kimya Kuhusu Alex kikiendelea Siku moja Trisha Alipigiwa Simu na Γ‘amba Ngeni hakupokea Simu Ile iliita KWA Zaidi ya mara Mbili "pokea Hiyo Simu" Aizack Alimwambia Trisha "Namba Ngeni " "Pokea" Trisha aliipokea ile Simu "Trisha ni Mimi Hapa Mke wangu" "Alex Kipenz Changu " "Upo salama mke wangu " Trisha Baada ya Kupokea Simu Hakuamin Mtu huyo ni Alex wake Hakuweza Kuendelea Kujibu Alianza Kulia Aizack alichukua Simu Haraka Baada ya Kusikia Ni Alex "Alex KWA Usalama wako jisalimishe " "Ni wewe Upo Karibu na Trisha Tena " "Sina

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments